Thursday, August 11, 2011

NITAKUA BORA ZAIDI YA MESSI: NEYMAR




                                       
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Brazil na klabu ya Santos kama jina lake lilivyo Neymar Dos Santos amesema anaweza kuwa bora zaidi ya mshambuliaji wa FC Barcelona Lionel Messi katika medani ya soka.

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 19 anaehusishwa na kuhamia Reala Madrid na Barcelona usiku wa jana alifunga bao la pili la Brazili katika kichapo cha magoli matatu kwa mawili dhidi ya ujerumani katika dimba la Marsedes Benz mjini Stutgat nchini ujerumani.

Tarehe mbili mwezi huu Neymar alitabiriwa na mkongwe wa soka nchini Brazil Pele kuwa atakywa bora zaidi ya mastaa walio wika na brazil