Wednesday, September 7, 2011

SIMBA OYEEEEEEEE, YANGA ZIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

                            Ligi kuu tanzania bara simba yaifunga Vila Squad goli moja kwa sifuri goli limefunga na Gervas Cago.
msemaji wa simba Ezekiel Kamwaga amesema mchezo uli kuwa mgumu mno.
                                    
Kutoka morogoro Yanga yazidi kufulia baada ya kuambulia sare katika mchezo wake dhidi ya Mtibwa Sugar.
                           Kule Dodoma timu ya Polisi Dodoma imetoka suluhu na Ruvu Shooting huku dereva wa bosi wa Ruvu shooting akipigwa na wadau wa Polisi Dodoma.