Tuesday, August 23, 2011

TIMU YA TAIFA YA NGUMI YAENDELEA NA MAANDALIZI


                                       

Timu ya ngumi za Ridhaa inaendelea na maandalizi ya michuano ya All Africana Games inayotaraji kufanyika nchini Msumbiji kuanzia September 3 mwaka huu hadi September 15.

Akizungumza na anga la michezo katibu mkuu wa BFT Makore mashaga amesema timu hiyo imekusanya wachezaji wachache kutokana na ukata wa serikali katika hali ya kuiwezesha timu hiyo kuweza kusafirisha wanandondin wa kutosha kwenda nchini Msumbiji.