Arsene Venger
Bosi wa Arsenal Arsene Wenga amekataa kuwa na mpango wakutaka kumsajili beki wakati wa Vedabremen, Per Mertersacker.
Beki wa kimataiafa amevuma kutaka kusajiliwa na klabu hiyo ya uingereza huku vyombo vya habari vikiandika na kutangaza taarifa hiyo lakini Wenga amekana kuwa ajawahi kumuwinda na hanania na beki huyo
Mertesacker amebakisha mkataba wa mwaka mmoja ndani ya klabu hiyo amabayo inajipanga kumsajili kwa mara nyingine beki huyo
No comments:
Post a Comment