Thursday, September 8, 2011

TFF YATAJA NJIA YA KISASA KUDHIBITI MAPATO



                                    
Raisi wa shirikisho la mpira nchini TFF Leodga Chila Tenga amesema kwa sasa wanamikakati ya kuanza kutumia njia kuuza za tiketi kisasa,  yaani kutumia Electronic Ticket kwaajili michezo mbalimbali ya soka nchini

Akizungumza katika makao ya shirikisho hilo jijini Dar es Salaam Tenga amesema hilo ni lengo la kamati ya utendaji ya shirikisho hilo kwaajili ya kudhibiti mapato, lakini pia amegusa mengi ikiwemo kutojitokeza kwa wingi kwa mashabiki wa soka.

No comments:

Post a Comment