SHAMBA LA BIBI
Hakuna Anaezuia Kuvuna
Tuesday, August 23, 2011
NAHITAJI MAJEMBE MAWILI
Baada ya kichapo hicho cha magoli matatu kocha wa Spurs Hery Rednap amesema kuna umuhimu wa kusajili nyota wawili ambao watakuwa muhimili mkuu wa klabu hiyo.
BADO PATAMU LIVERPOOL
Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool Dirk Kuyt amesema bado anafuraha na maisha ya klabu hapo mbali na kuhusishwa na kutakiwa na klabu ya Liverpool.
Ni baada ya wakala wake Rob Jansen kusema kuwa Inter wamejipanga kutoa ofa nzito kwa mchezaji huyo wa kidachi.
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)