Tuesday, August 23, 2011

BADO PATAMU LIVERPOOL



Mshambuliaji wa klabu ya Liverpool Dirk Kuyt amesema bado anafuraha na maisha ya klabu hapo mbali na kuhusishwa na kutakiwa na klabu ya Liverpool.

Ni baada ya wakala wake Rob Jansen kusema kuwa Inter wamejipanga kutoa ofa nzito kwa mchezaji huyo wa kidachi.

No comments:

Post a Comment