Thursday, August 25, 2011

AQUILANI AENDA AC MILAN


                             
Klabu ya Liverpool imetangaza kumuuza mkopokiungo wake Albero Aquilani kulekea katika klabu ya AC Milan ya nchini Italia.

Nyota huyo wa kitaliano mwenye umri wa miaka 27 aliekuwa na mkosi wa kuandamwa na majeraha tangu ajiunge na klabu ya majogoo wa jiji mwaka 2008.

Alhamisi yale alikuwa tayari ndani ya jiji la milan  kwaajili wa vipimo vya afya kabla ya kujiunga kwa mkataba wa mwaka mmoja .

Kwa muda mrefu Aquilani amekuwa na hamu kubwa ya kurudi nymbani kwao ambako ni Italia baada ya kushindwa kumudu vishindo vya ligi kuu ya England. 

Moja kati ya makubaliano kati ta Liverpool na wababe hao wa Gisepe Meaza ikiwemo kusajiliwa moja kwa moja kama atamaliza msimu huu kwa kiwango bora zaidi

No comments:

Post a Comment