Thursday, August 25, 2011

RATIBA YA LIGI YA MABINGWA BARANI ULAYA YAWEKWA HADHARANI


                                 Shirikisho la mpira balani ulaya UEFA limechagua makundi  ya ligi ya mabingwa barani ulaya jioni ya leo kule nchini Ufaransa mjini Monaco.

Katika makundi hayo Arsena imepangwa kundi F pamoja na mabingwa wa Ujerumani Borusia Dotmund. Huku Manchester wakiwa kundi A na Bayern Munich.
Na man united akiwa kundi na Benfica
Group A
FC Bayern München (GER)
Villarreal CF (ESP)
Manchester City FC (ENG)
SSC Napoli (ITA)
Group B
FC Internazionale Milano (ITA)
PFC CSKA Moskva (RUS)
LOSC Lille Métropole (FRA)
Trabzonspor AŞ (TUR)
Group C
Manchester United FC (ENG)
SL Benfica (POR)
FC Basel 1893 (SUI)
FC Oţelul Galaţi (ROU)
Group D
Real Madrid CF (ESP)
Olympique Lyonnais (FRA)
AFC Ajax (NED)
GNK Dinamo Zagreb (CRO)
Group E
Chelsea FC (ENG)
Valencia CF (ESP)
Bayer 04 Leverkusen (GER)
KRC Genk (BEL)
Group F
Arsenal FC (ENG)
Olympique de Marseille (FRA)
Olympiacos FC (GRE)
Borussia Dortmund (GER)
Group G
FC Porto (POR)
FC Shakhtar Donetsk (UKR)
FC Zenit St Petersburg (RUS)
APOEL FC (CYP)
Group H
FC Barcelona (ESP)
AC Milan (ITA)
FC BATE Borisov (BLR)
FC Viktoria Plzeň (CZE)
WAKATI HUOHUO
Klabu ya Fenabanche ya nchini uturuki inajipanga kukata rufaa mara baada ya kuondolea na shrikisho la mpira wa miguu nchini Urturuki TFA kwa kosa la kufanya udanganyifi katika baadhi ya michezo yake ya ligi kuu nchini Utiruki

Klabu hiyo iliondolewa katika mchakato wa kuchaguliwa kushiriki michuano ya klabu bingwa na nafasi yake kupewa klabu ya Trabzon spor ya nchini humo.

Katika tukio hilo la kufanya udanganyifu ukiwemo wa rushwa ulipeleka zaidi ya watu 30 akiwemo raisi wa Fenerbanhce Aziz Yidirim alitozwa faini kwa kosa huku klabu hiyo ikitiwa katika hatia ya kupokonywa ubingwa wa ligi.

No comments:

Post a Comment