Friday, August 12, 2011

ENRIQUE AFUNGA NDOA RASMI NA LIVERPOOL



Klabu ya liverpool imetangaza rasmi usajili wa beki wa kushoto wa klabu hiyo Jose Enrique toka Newcastle united.

Huu umekuwa ni usaji wa tano tangu kocha wa klabu hiyo Keny Daglish ajiunge na kuinoa klabu hiyo ya majogoo wa jiji la uongereza

Enruque mwenye umri wa miaka 25 kwa mara ya kwanza kucheza ligi ya uingereza ni mwaka 2007 alipijiunga na klabu hiyo akitokea klabu ya Villa Real ya hispania.

Nyota huyo amesema anafurahi kujiunga na klabu kubwa kama Liverpool na anaimani ya kutwaa mataji ndani ya klabu hiyo.

No comments:

Post a Comment