Saturday, August 27, 2011

FLAMINI NJE MIEZI MITANO


                         Kiungo wa zamani wa Arsena na klabu ya AC Milan kwa sasa Matheu Flamini takuwa nje kwa muda wa miezi mitano baada kupatwa na majeraha ya goti lake la kulia.

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 27 alitonesa goti hilo katika mchezo  wa wiki iliopita dhidi ya Juventus ambapo Milan ilishinda magoli 2 kwa 1 katika fainaliya kugiombea taji la Beluscone.

Katika  vipimo vya kwanza kiungo huyo aligundulika kuwa ana tatizo la nyama katika goti lakini baadae aligundulika kuwa anatatzo la golti na kuanza kufanyiwa upasuaji mara moja.

kiungo huyo aliecheza mechi 22 za ligi na kuisadia Milan kutwaa taji la Esqudeto msimu uliopita anatarajiwa kurudi katika hali yake ya kawaid mwaka ujao.

Mbali na kiungo huyo alieshiriki na Arsenal katika fainali ya klabu bingwa barani barani ulaya mwaka 2006 ambapo Arsena ilifungwa magoli mawili kwa moja dhidi ya Barcelona.

Wakati huohuo kocha wa AC Milan Massimo Alegri amesema kuwa kunauwezekano wa kiunmgo wa liverpool alienunuliwa kwa mkopo klabuni humo anaweza kufunga milango ya kusajili nyota mwingine ndani ya klabu hiyo.


No comments:

Post a Comment