Thursday, August 25, 2011

LIGI YA SOKA LA WANAWAKE IRINGA KUANZA JUMAMOSI


                                

Ligi ya soka la wanawake ngazi ya Taifa, ndani ya manispaa ya IRINGA kuanza kutimua vumbi  Agosti 27 mwaka huu katika uwanja wa Samora mkoani Iringa.
Akizungumza nami katibu wa  soka la wanawake Mwanakheri Kalolo amewataka wadau mashabiki kujitokeza kuangalia michezo ya soka la wanawake.

No comments:

Post a Comment