Thursday, August 25, 2011

CONICA INVITATION KUANZA JUMAMOSI


                                      
Chama cha mchezo wa kuogela nchini TSA kinaendelea na maandalizi wa mwishomwisho ya michuano ya Conica Invitation yatakayoanza jijini Dar es salaam kuanzia agosti 27 mwaka,

Katika maelezo yake katibu mkuu wa TSA Noel Kiunsi amesema washiriki katika michuano hiyo ni waogeleaji mbalimbali na sio vilabu kama ilivyozoeleka.

Kwa upande wa zawadi Kiunsi amesema zawadi zitakazo tolewa ni Medali pekee katika michuano.

No comments:

Post a Comment