Kamati ya ligi ya uingereza EPL imeahirisha mchezo wa Tottenham na Evarton uliotakiwa kuchezwa Agusti 13 katika uwanjawa White hat Lane jiji London
Mkurugenzi wa Ligi kuu ya Uingereza Richard Scadamo amesema mbali na kahirishwa na mchezo michezo mengine tisa itakayochezwa karibu na jiji London itachezwa kama kawaida.
Amesema chanzo cha kusimamishwa mchezo huo ni kuindelea kwa vurugu zilionza mwishoni mwa wiki iliyopita jiji London hususa katika maskani ya klabu hiyo.
Katika maelezo yake amesema jeshi la polisi linafanya kazi ya ziada kutuliza ghasia hizo huku likiahidi kufanikisha vurugu zisizidi katika maeneo mengine.
Taarifa hiyo imetolewa kupitia mtandao wa klabu Spurs, mchana wa leo juu ya kuaharishwa kwa mchezo huo sababu kubwa ikiwa ni kuathiriwa kwa miundombinu katika jiji hilo.
Kwa maana hiyo Spurs inasubiri mchezo wake wa uropa ligi utakaopigwa augusti 18 dhidi ya Heart Mildothian ambapo mchezo wa ligi watacheza tena tarehe 22 dhidi ya Manchster united.
Kumbuka kabla ya kuahirishwa kwa mchezo tayari michezo kama Uingereza na Uholanzi, Nigeria na Ghana, Westham na Chalton ilifutwa kutokana na vurugu hizo.
Lakini EPL imeorodhesha michezo itakayochezwa karibu na eneo la tuki ni Fulham v Aston Villa,
No comments:
Post a Comment