Kamati ya nidhamu ya shirikisho la soka nchini Hispania RFEF limetangaza kumtoza faini kocha wa Real Madrid Jose Morinho kwa kosa la kukwaruzana na kocha msaidizi wa FC Barcelona Tito Vilanova wakati wa mchezo wapili wa fainali ya Supercup uliochezwa katika uwanja wa CAMP NOU.
Kamati hiyo imesema lazima yatoke maamuzi ya busara na uwajibikaji kwa kocha wa huyo wa kireno na Vilano.
mchezo huo uliomalizika kwa Barcelona kuifunga madrid kwa magoli 3-2 ulipeleke Morinho kumkwaruza machoni Vilanova na kusababisha vurugu kmwishoni mwa mchezo huo
baada ya kikao cha jana cha kamati hiyo, kilipitia picha zote zilizotumwa ambazo zinaonyesha uhalisia wa tukio hilo
kamati imeamua kufuata kifungu cha 22.1 katika kumuwajibisha wa mwalimu huyo mwenye sifa ya ubwatukaji"
No comments:
Post a Comment