Wachezaji wa wekundu wa msimbazi simba sports klabu wapo mapumziko ya siku chache mara baada ya kuichakaza Coast union siku ya jumatano. Huku wakitajiwa kurudi na kuanza mazoezi siku ya jumatatu tayari kwa maandalizi ya ligu kuu na kombe la shirikisho.
Msemaji wa simba Ezekiel Kamwaga amesema kwa sasa timu hiyo wachezaji wake takribani nane wametwa katika timu zao za taifa wakiwemo watano wa Tanzania na watatu toka nje ya nchi.
Kwaupande mwingine Kamwa amesema kiungo wa simba alievunjwa mguu katika mchezo wa simba na yanga Mwinyi Kazi Moto kwa sasa yuko vizuri na ameanza mazoezi mepesi na baada ya wiki kadhaa atajumuika na wenzake kwaajili ya ligi kuu Tanzania Bara.
No comments:
Post a Comment