Friday, August 26, 2011

IRINGA WASAKA WACHEZA GOFU


                                      
Kamati inayohusika na ukuzaji na uboreshaji wa viwango vya wachezaji wa gofu umewataka waliowahi kuwa wachezaji na wadau wa mchezo kuhuduria katika mafunzo ya mchezo wa gofu yatakayo anza baada ya wiki mbili katika chuo cha kikuu cha mkwawa mkoani Iringa.

Mjumbe wa kamati hiyp Frank Mwaisumbe amesema kwa sasa wanafanya ukarabati wa viwanja vya mchezo huo kabla ya kuanza mafunzo hayo.

No comments:

Post a Comment