Friday, August 26, 2011

WENGER ASEMA AMETANGAZA OFA ZAIDI


                          
Bosi wa klabu ya Arsenal Arsene Venga amesema kuwa Arsena iltangaza dau la zaidi ya paundi milion 6 mara baada ya kocha wa Bolton Wonderers Owen Coyle kukataa iliyotumwa na Arsena kwa lengo la kumsajili mlinzi wa klabu hiyo Gary Cahili.

Venga amesema taarifa hizo si sahihi na kiasi kilicho tamkwa si sahihi huku akiamini kama mazungumzo kati ya pande mbili yakiendelea kunauwezekano wa kumefikiwa makubaliano.
                            

Tayari bosi wa Bolton Owen Coyle alisika akiibeza ofa hiyo na kusema kuwa Wenger amedharau uwezo na thamani ya mlinzi huyo 

                                
Lakini mwenyekiti wa Bolton Phil Gatside aliweka ujumbe wa hasira katika mtandao wa Twetter aliotumiwa na mashabiki wa Bolton juu ya ofa hiyo lakini wenger anayekabiliwa na kibarua kigumu cha kuivaa manchester united siku ya jumapili amekana kutoa ofa hiyo.

No comments:

Post a Comment