Bingwa wa zamani dunia wa mchezo wa ngumi nchini Francis Cheka amewataka waandaaji na wadhamini kuandaa mapambano na mabindia wa Nje ya nchi ili kukuza na kutangaza mchezo huo kwa mabondia wa toka tanzania
amesema kama kunauwezekano ni kumkabili raisi kikwete kutodukuduku lake juu ya mchezo huo wa ngumi ambao serikali imekuwa haitoi macho juu ya mchezo huo.
Mbali na hilo Cheka anataraji kupanda ulingoni mwezi wa kwanza mwakani kupambana na bondia Karama Nyalawila
No comments:
Post a Comment