Modric aliekuwa akiwindwa kwa udi na uvumba na jeshi la Chelsea amekuwa na imani ya kusajiliwa na klabu hiyo katika kipindi cha dirisha dogo ili afute kututu na hamu ya kuitumikia klabu hiyo.
Boas amesema afikri kama ataendela na mbio hizo kwa maranyinge mara baada ya kufungwa kwa dirisha la usajili mwisho mwezi wa nane.
Kikwazo kikubwa cha kuuzwa kwa nyota huyo ni uongozi wa klabu hiyo ukiongozwa na mwenyekiti wa Spurs Dany Levy wakitaa ofa zote tatu zilizo tangazwa na klabu hiyo.
Kwa upande wa kocha wa Tottenham Herry Rdnap alikataa kiasi cha paundi milion 40 za mara ya mwisho na kutangaza kuwa chelsea imeshindwa na Modric Hauzwi.
Ikumbukwe hali hiyo ilipelekea nyota huyo kuomba asipangwe kwenye mchezo wa ligi kati ya Tottenham na manchester city uliomalizika wa Spurs kufungwa magoli matano kwa moja.
Amesema mbali na kumkosa Alvaro anafuraha na walinzi wake ambao ni Ashley Cole na Ryan Bentrand na kudai kuwa alvaro alikuwa katika mipango ya ziada.
Drogba atakosa mchezo kati ya wa jumamosi dhidi ya sunderland pamoja naklabu bingwa siku ya Jumatano dhidi ya Bayern Leverkusen
Lakini pia nyota wawili wa timu hiyo Piter Cech na David Ruiz watakuwemo katika kikosi wakitoka katika majeraha waliyonayo
Lukaku mwenye umri wa miaka 19 anaecheza kama kiungo mkabaji alisajili Chelsea kwa matumaini makubwa na kuanza mikakati ya kutafuta namba kwenye kikosi cha kwanza cha timu hiyo.
Mbali na kuacha moja ya timu zenye mafanikio kwa muda mfupi lakini Lukaku amekiri kuwa hakuwa na fikra mbili katika kuhamakwake na kuamua mojakwa moja kwenda Chelsea.
No comments:
Post a Comment