Thursday, September 22, 2011

NCHIMBI AMPA ULAJI MALINZI


                                                  
Waziri wa utamaduni na michezo Emmanuel Nchimbi amemteua Dions Malinzi kuwa mwenyekiti wa baraza la michezo nchini BMT,

Kwa upande wa wajumbe walioteuliwa na waziri nchini ni Maulidi Kitenge, Juma Pinto,Siprian Maro, Venus Mwamoto,Mkiwa Kimwaga na Jenister Muhaga.

Wangine wakiwa ni Ramadhani Dau,Alex Mgongolwa,Jamal Rwambo, Jenifer Mmasi pamoja na Eliot Makafu.

Mbali na hilo ametangaza nafasi za wajumbe wa kuteuliwa ambazo zimelekea kwa

Mkurugenzi wa shirika la mchezo wa bahati nasibu ya taifa, kamishna wa elimu wizara ya habari na utamaduni na michezo
Mkurugenzi wa Tamisemi, pamoja na kamishna wa elimu na mafunzo ya ufundi,

Kwa upande wa vyama mbalimbali vya michezo nafasi hizo zimekwenda kwa matibu wakuu wa vyama hivyo ambao ni

Katibu mkuu wa Chaneta
Katibu mkuuwa TFF
Katibu mkuu wa AAT
Katibu mkuu wa TFF
Katibu mkuu wa TTTA
Katibu mkuu wa RT
Katibu mkuu wa TOC
Katibu mkuu wa BFT
Katibu mkuu wa TPC
Na katibu mkuu wa TBF,

Uteuzi huo umezingatia kifungu cha 3 na kufungu kidogo cha 2 cha sheria ya mwaka 1967 pamoja na sheria na namba sita ya katiba ya BMT ya mwaka 1971,

No comments:

Post a Comment