Friday, September 16, 2011

WENGER AKATAA KUWEKA JUU YA USAJILI WA BENAYOUN

                                   
Bosi wa arsenal arsene venga amekataa kuweka wazi juu ya kumsajili moja kwa moja kiungo wake mpya Yossi Benayoun.
Wenger amesema Benayoun ni kiungo mzuri na huwa anazingatia na kubalika kwa kufuata mfumo wa Arsenal siku hadi siku lakini anafaa zaidi kucheza safu ya kiungo wa pembeni.

Katika maelezo hayo wenger amesema ni mapema mno kutangaza kama atamsajili moja kwa moja au hato msajili lakini sio kama nataka kulitupa suala hili.

Lakini wenger hakuishia hapo na kusema kuwa nyota huyoa lifanya vizuri katika mchezo dhidi ya Borusia Dotmund na bado anahitaji mchango wake katika klabu hiyo.
                                 
Kiungo huyo wa kiislael amejiunga kwa mkopo akitokea Chelsea katika dakika za mwisho za usajili wa wachezaji barani ulaya.
Mwishoni mwa wiki hii  Benayoun anatarajiwa kuwanza katika mchezo dhidi ya Blackburn Rovers.
                                    

No comments:

Post a Comment