Friday, September 16, 2011

LEONADO AMTAKA BECKAM KUTUA PSG


                                 
Mkurugenzi wa michezo wa PSG Leonado amesema atajaribu kumsajili kiungo wa zamani wa manchester united David Beckam ifikapo mwezi january mwakani.

Leonado aliwahi kumshudia kiungo huyo wakati leonado akiifundisha AC Milan lakini pia amesema anavutiwa na uchezaji wa beckama akiwa uwanjani.

Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari leonado Leonado ametoa hisia zake kwa kusema nakubaliana na kilakitu anacho onesha mchezaji huyo wa kiingereza akiwa uwanjani.


Kwa sasa Beckam anawaniwa na vilabu vya QPR na Tottenham vyote vya uingereza huku  akiwa ameshawahi kujiunga na Tottenham kwa muda katika msimu uliopita.

No comments:

Post a Comment