Klabu ya Anz Makachkala ya nchini Urusi imetangaza kufikia makubaliano na Inter Milan juu ya Usajili wa mshambuliaji nguli wa Inter Samuel Etoo.
Etoo amevuma kwa muda mrefu kutakiwa na klabu hiyo ya kirusi nas asa tayari klabu hiyo imeweka hadharani kufanikiwa kwa makubaliano yao.
Katika taarifa ya klabu ya Anz Makachkala inasema kuwa nyota huyo atanunuliwa kwa dau la paundi milion 25 ambapo paundi milion 21 zitabaki milan.
Tayari Anzi inawakongwe kama Roberto Calos na Yur Zikov toka Chelsea
No comments:
Post a Comment