Monday, August 29, 2011

FAGASONO AFARIJIKA BAADA YA KUTOA ZAWADI YA IDDI KWA ARSENAL


                               
Naye bosi wa manchester united Sir Alex Ferguson amesema amefarijika na ushindi ulioupata toka kwa Arsenal na kufikisha point 9 katioka msimamo wa ligi kuu ya England.

Fagason amesema kuwa mbali na kukosekana kwa nyota wapatao nane katika kikosi cha Arsena  na muheshimu mzee Venga kwa mafanikio madogo aliyoyapata na kuonyesha ushindani.

Lakini pa amewapongeza wachezaji wake ambao ni Wyne Roony, Luis Nani, na Ashley Young kwa kuleta furaha ndani ya United.

Bosi huyo hakushindwa kumzungumzia  Danny Welbeck aliemtoa mara baada ya kupata matatizo ya nyonga na kumtoa dakika 36 huku nyota huyo akitarajiwa  kukosekana katika kikosi cha timu ya taifa.
WAKATI TUKIZUNGUMZA HAYO
Mshambuliaji wa manchster united na mpenzi mkubwa wa klabu ya Everton Wayne Roony, amesema anamipango madhubuti ya kuvunja rekodi ya nyota wa zamani wa klabu hiyo Sir Bob Chalton katika ufungaji wa Magoli.

 Rooony mwenye furaha ya kufunga magoli manne katika mchezo dhidi ya Arsenal kwasasa anaingia katika orodha ya wachezaji 10 wanaongoza kwa magoli ndani ya klabu hiyo ya masheitwani wekundu.
                                             SIR BOBBY CHARLTON
                                       
Roony ameipiku nafasi ya mshambuliaji wa zamani wa klabu hiyo Ruud Vana Nestroy ambapo sasa anamagoli 152 aliyofunga ndani  United huku mkongwe Bob Chalton aliewika na klabu hiyo kuanzia mwaka 1956 hadi 1973 na kucheza michezo 758 na kufunga magoli 249.

No comments:

Post a Comment