Saturday, August 27, 2011

KIPIGO CHA CHELSEA CHA MUUMIZA DROGBA



Mara baada ya ushindi wa leo wa magoli matatu kwa moja dhidi ya Norwich City mshambuliaji wa Chelsea alieumia katika mchezo  huo na kutolewa mnamo dakika ya  39 nafasi kuchukuliwa na Nikolas Anelka.

Taarifa toka kwa daktari wa nyota huyo zinasema kuwa majibu ya Drogba yatatoka baada ya uchunguzi toka katika hospital aliyopelekwa nyota huyo wa Ivory Coast.

DROGBA ameumia katika mchezo ambao Chelsea imeshinda magoli matatu kwa moja huku wafungaji wakiwa ni Jose Bosingwa DK 6. Lampad 82 kwanjia ya penalt na Juan Mata DK 90

No comments:

Post a Comment