Friday, August 26, 2011

SANTA CRUZ AENDA BETIS


                          
Mshambuliaji wa manchester city Rogue Santacruz amefanyiwa vipimo vya afya tayari kabisa kujiunga na klabu ya Real Betis siku ya jumamosi.

Nyota huyo paraguayi alikuwa akihusishwa na kutakiwa na vilabu vingi barani ulaya mara baada ya kushindwa kufanya makubwa ndani ya klabu yake ya East Land tangu aijunge toka Blackburna rovers.

Msimu uliopita Crus alirudi Ewood park kwa mkopo ili kujiweka sawa hadi kufikia makubaliano na klabu hiyo ya Hispania.

No comments:

Post a Comment