Klabu ya tottenham Hotspurs imetangaza rasmi usajili wa Yago Farque kwa mkopo toka Juventus ya Italia.
Kiungo huyo wa Hispani mwenye umri wa miaka 21 msimu uliopita aliitumikia kwa mkopo klabu ya Vila Real B na kufunga magoli 11 katika michezo 36 ya klabu hiyo.
Yago alikuwemo katika kikosi hispania chini ya umri wa miaka 17 kilichotwaa ubingwa wa ulaya mwaka 2007 kipi hicho yupo katika klabu ya Barcelona kabla ya kujiunga na Juventus ya Italia mwaka unaofuata.
Adebayor alijiunga kuitumikia ligi kuu ya uingereza mwaka 2006 akitokea Monaco ya nchini Ufaransa na amecheza mechi 186 na kufunga magoli 81.
Na livyojiunga na Real Madrid ya Hispani katia dulu la pili la ligi kuu alifunga magoli nane katika michezo 22 aliyocheza ndani ya klabu hiyo.
Katika ujio wa nyota huyo tayaria Spurs imetangaza kumchukua kwa mkopo mshambuliaji wa Tottenham Emanuel Adebayor toka manchester city lakini pia imemsajili Cristian Ceballos.
Hii inadhihirisha ya kuwa bosi wa Spurs Hery Rednapa anataka kufanya makubwa katika michuano ya Uropa Ligue msimu huu ambapo jana ilianza vibaya kwa kutoa sare dhidi Harts katika uwanja wake wa nyumbani wa Whitehat Lane.
No comments:
Post a Comment