Wednesday, August 24, 2011

YANGA MBA SIMBA OYAYA


                                 Timu ya nga ya jijini Dar es salaam leo hii imeangukia pua kwa mara ya pili baada ya kuambulia sare ya goli moja kwa moja toka kwa moro united.

Katika mchezo huo uliokuwa mkali na wakusisimua kiuongo wa yanga Juma Seif Kijiko alitolewa nje kwa kadi nyekudu marabaada ya kucheza rafu kunako dakika 86 ya mchezo huo na kumfanya apewe kadi ya pili ya yamanjano na mwamuzi wa mchezo huo Ibrahim Kidiwa kutoka Tanga.

Goli la yanga limefungwa na Haruna Niyonzima katika dakika ya 68 baada kuunganisha Crosi safi iliyopigwa na Godfrey Bony.

Mabadiliko yaliyofanywa dakika ya 76 yaliifanya moro kusawazisha goli hilo katika dakika 87 kupitia Jarombe Lambele alichukua nafasi ya Ngasa.

                             kwaupande wa mahasimu wao Simba leo wameibuka na ushindi wa goli moja kwa sifuri dhidi ya Coast Union ya Tanga. na kufikisha point 6.

No comments:

Post a Comment