Monday, September 12, 2011

KAMATI YA KOMBE LA MUUNGANO LA JUMUIKA NA WAZANZIBAR KATIKA KIPINDI HIKI KIZITO


                                       
Kamati ya mashindano ya kombe la muungano imepeleka salamu za rambirambi ikiashiria kuwa ipo pamoja na waathiriwa na ajali ya meli iliyozama kule visiwani Zanzibar.

Akizungumza nami mratibu wa michuano hiyo Daudi Yasin amesema Zanzibar na Mufundi ni kitu kimoja na wanaushirikiano wa kutosha haswa katika michuano ya Muungano.

Aliongeza kuwa wamepokea kwa masikitiko makubwa na wanaimani kuwa sehemu ya wahanga wa tukio hilo ni wanamichezo.

No comments:

Post a Comment