Monday, September 12, 2011

RAMSEY KUWAKOSA DOTMUND


                                  
Kiungo wa Arsena Aron Ramsey ameondolewa katika kikosi kitakachoivaa Borusia Dotmund kule nchini ujerumani katika mchezo wa kwanza wa klabu bingwa bara ulaya.

Kiuongo wa kiingereza mwenye umri wa miaka 20 atakosa mchezo huo kutokana na kukabiliwa na majeraha ya enka aliyoyapata leo akiwa na katika mazoezi na timu yake kule nchini ujerumani.

Kiungo huyo ambaye kwa sasa ndio chaguo la kocha wa klabu hiyo baada ya Jack Wilshere kupata majeraha katika mechi za maandalizi ya klabu hiyo kabla ya kuanza kwa ligi.

Hii ni mara ya pili kwa mchezaji huyo kukosa michezo mbalimbali ndani ya klabu hiyo kwa mara ya ilikuwa mwaka 2008 baada ya kuvunjwa mguu na  nyota wa Stoke city Ryan Shawcrose na kukaa nje kwa muda wa miezi tisa.

Japokuwa alivitumikia vilabu vya  Nothihama Forest na klabu ya Cardif nyota huyo wa Arsenal ameonekana kuwa super msimu huu katika klabu yake.

Mpaka sasa Ramsey amecheza michezo sita ndani ya Arsena ikiwemo michezo minne ya ligi kuu ya nchini humo.

Kwamaana hiyo Arsena inatarajiwa kuwatumia viungo kama Mikel Arteta,Yosi Benayoun, Alexzander song na Emmanuel Frimpomp

Arsenal ambayo ipo kundi G pamoja na Olompik Marsele. Olimpiakos, borusia Dotmund.

No comments:

Post a Comment